Tuesday, August 12, 2014

Zingua

Kanizingua
Nikazinguka
Kanitaka magoti
Kashindwa tembea
Kavaa miwani
Bado sioni
Kweli upendo
unapofusha

© Bonyo Buogha 2014

No comments:

Post a Comment