Friday, February 24, 2012

Kicheche

Yule kicheche
yuapenda bwerere
Yuapenda checheshwa
na tunda hamna

Dunia ni jangwa
Ndipo ujanja
wa nyani
itaja zimishwa

© Bonyo Buogha 2012

Wednesday, February 1, 2012

History

Siangalii nyuma
History iko na his story
but not her story
Acha nikuambie hii story ya history
na mastery:

Yaliyopita si ndwele;
naganga yajayo

© Bonyo Buogha 2012