Sunday, August 2, 2009

Wanasiasa na maboys

mahengri wanatafuna mei design ya miwa
kila kitu inawapitia wanataka kuimangia
ubao mingi, taki haiishi
na hio kumanga yote haiwashibishi
mtaani watoi wanadie
mamatha wanacry
inalazimisha maboys waingie crime
mtoo ziko mob
hakuna job
inabidi maboys wasake through kurob

Bonyo Buogha 2009

No comments:

Post a Comment